Diamond akitoa heshima za mwisho
Baadhi ya wasanii wakitoa heshima za mwisho
Mbunge wa Singida mjini akitoa heshima za mwisho
Mbunge wa Kinondoni akitoa heshima za mwisho
Diamond akifwatiria kwa karibu shughuri nzima ya kuaga mwili wa marehemu
Msanii Fid Q akitoa heshima za mwisho
Msanii wa muziki wa kizazi kipya Profesa Jay akipita mbele ya jeneza lililobeba mwili wa marehemu Albert Mangwea kutoa heshima za mwisho leo Leders Club
No comments:
Post a Comment