Sunday, May 26, 2013

WABANA PUA NA WATOBOA PUA KUKUTANA TENA LEO MAISHA CLUB

 Wasanii wa muziki wa kizazi kipya nchini Ney wa Mitego pamoja na Diamond platinum leo watakutana tena jukwaani  Club Maisha ambapo wataimba kibao chao kinachotamba kwa kipindi hiki kinachojulikana kwa jina la Muziki Gani




No comments:

Post a Comment