Saturday, March 30, 2013

MKANDARASI,WAHANDISI MBARONI


Hilo ni jengo ambalo Kamanda wa Kanda maalum wa polisi ya Dar es Salaam Kamanda Suleiman Kova amelitaka lichunguzwe kwa sababu teyari limeshakuwa na ufa unaohatalisha maisha ya watu, 


Watu wanne akiwemo mkandarasi na viongozi watatu wa Manispaa ya Ilala ya jijini Dar es Salaam wanashikiliwa na polisi kwa mahojiano kufuatia kuporomoka kwa jengo la ghorofa 16  na kuua watu 19wengine 17 kujeruhiwa vibaya ingawa mpaka sasa maiti bado zinaendelea kupatikana na kusababisha idadi kamili ya maiti zilizopatikana kutokuwa kamili



No comments:

Post a Comment