![]() |
| Mkuu wa mkoa wa Dar es Salaam alifika katika eneo hilo huku akiongoza kikosi cha waokoaji |
![]() |
| Haya ni baadhi ya majengo ambayo yamezunguka eneo ya jengo lililodondoka |
![]() |
| Baadhi ya watu waliokuwa wanatoa huduma ya uokoaji wakimsaidia mtu mmoja aliyeokolewa katika jengo hilo |
![]() |
| Kamanda mkuu wa kanda maalum Dar es Salaam Suleimani Kova naye alifika eneo la tukio |
![]() |
| Hali ndiyo ilivyo wengine wakishangaa na hayo ni mabaki ya jengo hilo |
![]() |
| Hii ni moja ya gari ambalo limeokolewa likiwa tayari limeshaharibika |
![]() |
| Gari ambalo limefunikwa na kifusi hicho |
![]() |
| Baadhi ya watu wakiwa wanashangaa kifusi hicho |











Atari tupu
ReplyDelete