Sunday, December 09, 2012

SWAHILI FASHION WEEK 2012 AWARDS

Best Exhibition Stand on Swahili Fashion Week 2012, presented to Codesh Jewellery and Frego Styles (‎Coletha Mzena & Frederica Eloam Tayviah) Hongera sana.

Vodacom Fashion Blog of the year 2012 ilikwenda kwa Missie Popular blog, ikikabidhiwa na Kelvin Twisa

Fashion Tv Program of the Year 2012 went to East Africa Tv, Nivana.

Fashion Journalist of the Year, Maimuna Kubegeya, Mwananchi Communication

Male Stylish Personality  ilimshukia Andrew Mahiga

Red's Female Stylish Personality of the Year  2012 ilienda kwa Nancy Sumary

New Face of the Year 2012 ni Rachida Usuale

Male model of the year Benson Kwembe akipokea tuzo yake toka kwa Miladayo
Female model of the year 2012 Nadia Ali akijiandaa kupokea tuzo toka kwa Ommy Dimples

East Africa Model of the year 2012, Joseph Kimeu kutoka Kenya

Emerging designer of the Year ilienda Kenya kwa Phylista Onian

Lucky Creation akipokea tuzo ya Upcoming Designer of the Year 2012 kutoka kwa Ailinda kama mwana mitindo bora kwa wanawake

Martin Kadinda aliibuka mwana mitindo bora kwa wanaume ( Mens Wear Designer of the Year 2012) katika Swahili Fashion Week 2012

Ailinda akimbu mumewe baada ya kupokea tuzo maalum ya Original Africa ambayo hutolewa na USA, jana katika kuhitimisha wiki ya mitindo nchini ya mwaka 2012 maarufu kama Swahili Fashion Week 2012


Gabriel Mollel the Best Designer of the Year 2012 na Innovative Designer of the Year 2012 akionyesha tuzo zake alizopata, juu baada ya kupokea tuzo toka kwa Mstahiki Meya wa Ilala, Jerry Slaa, jana katika siku ya mwisho ya Swahili Fashion Week 2012, pamoja na ushindi huo Gabriel Mollel atakwenda Mozambique kuiwakilisha Swahili Fashion katika maonesho ya Mozambique Fashion Week 2012 yanayoanza wiki hii.



No comments:

Post a Comment