Wanenguaji wa Kofii Olomide kwenye kundi la Quartier Latin wakilishambulia jukwaa katika viwanja vya leaders Club kinondoni |
Kofii Olomide akicheza sambamba na wanenguaji wake katika tamasha la Tusker Canivar lililofanyika katika viwanja vya Leaders Club Kinondoni |
Mcheza shoo wa Kofi Olomide kutoka kundi la Quartier Latin akiwakonga nyoyo za msahabiki walio hudhuria tamsaha la Tusker Canivar lililofanyika katika viwanja vya Leaders Club kinondoni |
No comments:
Post a Comment