Monday, October 29, 2012

USIKU WA CLUB BILICANAS ULIVYOFANA

Katika red Carpet katikati ni Millady ayo akizungukwa na wadau wa muziki kabla hawajaingia katika ukumbi wa clu bilicanas katika shoo ya Usiku wa Club yenye lengo la kuhamasisha wadau pamoja na mashabiki ya muziki kuwapigia kura wasanii AY na Cpwaa kunyakuwa tuzo za channel O Music Video Awards

AY ndani ya red carpet




No comments:

Post a Comment