Mwenyekiti wa Simba Mh Aden Rage akiwa na kombe la ushindi wa ligi kuu ya Vodacom
Emmanuel Okwi akipongezwa kiaina na Amiri Maftah kwa kufuta kiatu baada ya kufunga bao la kwanza jana katika mechi iliyochezwa uwanja wa taifa, ambapo bao Simba ilihinda 5 - 0
Milovan akiwa amebebwa wachezaji wa Simba baada ya timu hiyo kuibuka washindi
Furaha ya ushindi
Team captain wa Simba Sports Club Juma Kaseja akibusu kombe
Penalt ya kwanza iliyowapa Simba bao la pili jana baada ya beki wa Yanga, Nsajigwa kumfanyia madhambi Okwi
Shdrak Nsajigwa wa Yanga akimkata Emanuel Okwi (alieshukia kifua kama anavyoonekana) na kusababisha penalt iliyozaa goli la pili katika kipindi cha pili ambapo Simba ilishinda 5 - 0
Refa kakosa uvumilivu akampa kadi ya njano Nsajigwa
Simba wakishangilia katika picha ya pamoja na kombe lao
Yanga walipoteza nafasi nyingi
Kaseja sijui amegombana nini na Nurdin Bakari ...
Boban Haruna Moshi akikosa goli
Mwape nae kanyanganywa mpira mguuni...
No comments:
Post a Comment