Wednesday, May 16, 2012

Hii Hali Mpaka Lini Jamani...?!

Yaani hii imepitiliza, maana hata manyunyu tu pale chama barabara ya zamani ya Bagamoyo ielekeayo Mikocheni maeneo ya TANESCO ni balaa tupu. hizi mvua zinazoendelea zinawaadhiri sana wakazi na watumiaji wa barabara eneo hilo.

No comments:

Post a Comment