Makamu wa kwanza wa Rais wa Zanzibar Maalim Seif Hamad Sharif ambaye pia ni Katibu mkuu wa CUF ,akisalimiana na hasimu wake mkubwa ambaye ni Mbunge jimbo la Wawi, Hamadi Rashid walipokutana Ikulu jijini Dar es Salaam hivi karibuni wakati wa hafla ya kuwaapisha wajumbe wa kamati ya kuratibu maoni ya Katiba.
No comments:
Post a Comment