Rais wa zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la mapinduzi Dk Ali
Mohamed Shein,akifungua pazia kama ishara ya uzinduzi wa madarasa
mapya ya kusomea katika skulimya Ukutini Kusini Pemba akiwa katika
ziara mkoani humo jana.
Rais wa zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la mapinduzi Dk Ali
Mohamed Shein,akitembelea maeneo ya Skuli ya ukutini baada ya
kuzinduzi wa madarasa mapya ya kusomea katika skulimya Ukutini Kusini
Pemba akiwa katika ziara mkoani humo jana.
No comments:
Post a Comment