Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj
Dk.Ali Mohamed Shein, akisalimiana na Watoto mara baada ya kuzindua
Msikiti Masjid Raudha katika shehia ya Kiuyu Maungweni,pamoja na
kuzungumza na Waumini wa Dini ya Kiislamu wa Shehia hiyo jana,katika
jimbo la Ole Mkoa wa Kaskazini Pemba.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk
Ali Mohamed Shein,akishiriki katika upandaji wa miche ya
Mikarafuu,katika shamba la Mikindani ,Wilaya ya Wete Mkoa wa Kaskazini
Pemba akiwa katika ziara ya Mkoani humo.
Picha Zote na Ikulu ya Zanzibar
No comments:
Post a Comment