Monday, April 02, 2012

Baiskeli Imebebwa

Baiskeli ya mizigo maarufu kama Guta ikiwa inavutwa na pikipiki ya miguu mitatu katika barabara ya Morogoro hivi karibuni, kitendo hicho kinaweza kuhatarisha usalama wa watumiaji wa barabara hiyo

No comments:

Post a Comment