Mshambuliaji wa Simba, Felix Sunzu akiwania mpira |
Amiri Maftah akimtoka kipa wa Kiyovu, Bate Shamiro jana, hata hivyo alikosa goli |
Mwenyekiti wa Simba, Mh. Ismail Aden Rage, akiongozana na Waziri wa Ardhi na Makazi, Mh. Anna Tibaijuka, kwenda kuwapongeza wachezaji wa Simba kwenye vyumba vyao, jana |
Askari wa kuzuia fujo wakikusanya viti vilivyong'olewa na mashabiki kufuatia fujo kati ya mashabiki wa Simba na Yanga, jana. |
Shabiki wa Yanga akirusha kiti katika fujo hizo |
Mh. Rage akituliza mashabiki katika fujo hizo |
Wachezaji wa Kiyovu wakimzonga mwamuzi baada ya kufungwa goli la pili |
Polisi wakiwatenganisha mashabiki wa Simba, ili kuokoa vita ambayo iliyotokea katika mechi baina ya Simba na Kiyovu jana, Simba iliibuka mshindi kwa bao 2 - 1 |
No comments:
Post a Comment