Thursday, March 29, 2012

Abiria na Mzigo Wake. . .

Hivi karibuni kamera yetu iliwanasa hawa jamaa wakiwa wamejikunyata ndani ya kenta ndogo kama wanavyoonekana. hapa sijui suala la usalama wao linakuwaje?!

No comments:

Post a Comment