|
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal,
(katikati)akikata utepe kuzindua Kituo cha Taasisi ya utafiti wa maradhi ya Malaria
kilichopo Bagamoyo, wakati alipokuwa katika ziara yake ya Wilaya ya Bagamoyo, mkoa
wa Pwani jana Februari 03, 2012.
|
|
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal,
akikagua jengo la Taasisi ya utafiti wa maradhi ya Malaria, baada ya kuzindua jengo hilo wakati
akiwa katika ziara yake ya Wilaya ya Bagamoyo mkoa wa Pwani jana Februari 03, 2012.
|
MAKAMU WA RAIS DKT. BILAL AKAGUA UJENZI WA JENGO LA SHIRIKA LA ELIMU KIBAHA
|
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muunganon wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal,
akitembelea na kukagua ndani ya jengo la Shirika la Elimu Kibaha, wakati alipokuwa
katika ziara yake ya Wialaya ya Kibaha Mkoa wa Pwani leo Februari 04, 2012
|
|
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungno wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal,
akisikiliza maelezo kutoka kwa Dkt. Isaack Lwali (wa pili kulia) wakati
alipotembelea na kukagua ujenzi wa Jengo la Shirika la Elimu Kibaha, wakati akiwa katika ziara yake ya
Wilaya ya Kibaha mkoa wa Pwani leo Februari 04, 2012. Kulia ni Mkurugenzi Mtendaji wa
Shirika la Elimu Kibaha, Dkt. Cyprian Mpemba.
|
Picha zote na Ofisi ya Makamu wa Rais
No comments:
Post a Comment