Wednesday, February 01, 2012

Maandamano ya magari. . .

Haya sio maandamano kama ambavyo wengi wanaweza kufikiri, ni wakazi w jiji la Dar es Salaam wakielekea kuwajibika asubuhi, hapa unaweza kutumia saa zima kwenda umbali wa kilometa 2, kaz kwel kwel



No comments:

Post a Comment