Mmoja wa wanawake akivuliwa suruali jijini Lilongwe jana kufuatia wamachinga kuruhusiwa kuendesha operation hiyo kwa madai kwamba suruali siyo vazi la mwanamke. Sijui ikija Bongo itakuwaje, inaelekwa watavuliwa nchi nzima Picha kwa hisani ya mtandao wa Malawi Voice |
No comments:
Post a Comment