Jamaa akiwa ameuchapa usingizi pembeni ya barabara ya Ocean (Ocean Rd) mbele ya jengo la hospitali ya Agakhan, njia ambayo maraisi wote wastaafu na aliyepo, mawaziri Wakuu wote wastaafu na aliepo wanaitumia mara kwa mara lakini sijui kama hili wanaliona. eneo hilo limejaa vijana ambao wapo wapo tu, nafikiri pamoja na shida zilizopo vijana nchi hii wanahitaji msaada wa haraka la sivyo taifa litakuwa na watu wa aina hii wengi sana siku za usoni. |
No comments:
Post a Comment