Baadhi ya wanafunzi wa Shule ya Msingi Mwalimu nyerere Dar es laam wakiwa wamefunga barabara kwa ajili ya kugongwa mwanafunzi mwezao, wakiwana mabango yanayosomeka tunataka matuta. Ya tatu, Afande Kenyela Mkuu wa Polisi Mkoa wa Kinondoni, akihojiwa na vyombo vya habari. Pili kutoka chini wanafunzi wamekubali yaishe wanarudi madarasani. Chini FFU wakiwa wanaondoa matofali yaliyotumika kufunga barabara. |
No comments:
Post a Comment