Saturday, January 28, 2012

Msaada Kwenye tuta...

Kama nilivyowanasa leo jioni na kamera yetu, huko Kawe Beach waheshmiwa wakitoa mtumbwi kwenye maji baada ya shughuli ndefu ya siku nzima ya uvuvi, samaki sasa hivi ni wachache sana na kusababisha kupanda bei. 



No comments:

Post a Comment