![]() |
| Muuza dawa kauchapa katikati ya Magomeni, wengi yu huwa wanalala lakini wanaibiwa ila huyu mshkaji yeye wamemuacha, sasa sijui wanamuogopa sababu ya madawa hayo, uchelewi kushushwa mshipa LOL |
![]() |
| Hapa sijui nani atamruhusu mwenzie maana Kariakoo watu wabishi, sasa foleni inazua mabalaa, jana mtaa wa Msimbazi |
![]() |
| Huu ni uchafu au usafi...Manispaa ya Kinondoni mpo, definition ya uchafu sasa basi inatuchanganya... jana Studio |



No comments:
Post a Comment