Friday, January 13, 2012

Kituo cha Biashara Jijini Dar Es Salaam

Hiki ni kituo cha abiria, yaani wapanda mabasi, hapa wanatakiwa kukaa kwenye kivuli wakisubiri mabasi lakini kwa inavyoonekana kimekuwa ni kituo cha biashara, kama kinavyoonekana Magomeni Kagera hivi karibuni. Sasa abiria sijui wanakaa wapi?


No comments:

Post a Comment