Hapa Ajali wakati daladala zikiwahi kutaka kufika upesi wakati wa mafuriko jijini Dar es Salaam leo mchana kwenye barabara ya Umoja wa Mataifa karibu na mataa ya Salender Bridge. |
Huu msongamano bado upo katika makutano ya Kinondoni rd na Ali Hassan Mwinyi kufuatia barabara nyingi kufungwa ikiwemo barabara moja kufungwa kwa madai ya daraja la Salender kuzidiwa uzito. |
Hali ndio kama hivyo tena |
Kuna cha maji wakati yakianza kupungua katika makutano ya Ali Hassani Mwinyi na Umoja wa Mataifa mataa ya Polisi Salender |
No comments:
Post a Comment