OFISI YA SECRETARIET YA AJIRA NA UTUMISHI WA UMA YATUMIA TEHAMA KUTOA HUDUMA
Je unajua jinsi TEHAMA inavyoboresha utendaji kazi na utoaji wa huduma kwa umma katika Ofisi ya Rais Sekretarieti ya Ajira katika Utumishi wa Umma. Usikose kuangalia kipindi hiki uone jinsi ambavyo TEHAMA inasaidia kuboresha utendaji kazi na utoaji wa huduma kwa umma katrina taasisi hiyo
No comments:
Post a Comment