Meneja wa Kampeni ya Fahari ya Tanzania na Mratibu wa Tuzo za Chapa Bora 50 za Kitanzania Bw. Emmanuel C. Nnko akitoa Maelezo kuhusu Fahari ya Tanzania na Mchakato mzima wa Upatikanaji wa Chapa Bora 50 za Kitanzania katika hafla hiyo.
Mgeni Rasmi alikuwa Makamu wa Rais, Samia Suluhu Hassan akifanya uzinduzi rasmi wa Tuzo hizo.
Mgeni Rasmi alikuwa Makamu wa Rais, Samia Suluhu Hassan akifanya uzinduzi rasmi wa Tuzo hizo.
wadau wakifuatilia uzinduzi wa kampeni ya jivunie
Waziri wa Viwanda, Biashara na Uwekezaji, Charles Mwijage naye akisaidiana na mgeni Rasmi katika uzinduzi wa tuzo hizo
Mkurugenzi wa TFDA Bw. Hiiti Sillo, Prof. Mpanduji Mkurugenzi Mkuu wa Sido wakiwa na Dr. Mubofu Mkurugenzi Mkuu wa TBS wakifuatilia kwa Makini Hotuba ya Mgeni Rasmi.
Mgeni Rasmi alikuwa Makamu wa Rais, Samia Suluhu Hassan na Waziri wa Viwanda, Biashara na Uwekezaji, Charles Mwijage wakiwa katika picha ya pamoja na waadaji, wadhamini, na washindi wa tuzo hizo. Kushoto (kwake) Katibu Mkuu wa Viwanda na Biashara, na Uwekezaji, Profesa Adolf Mkenda (wa pili kushoto) Mkurugenzi Mkuu wa TSPF, Godfrey Simbeye (kushoto) na viongozi wengine.
No comments:
Post a Comment