Friday, May 13, 2016

WAIZIRI NAPE NNAUYE AKIWASILISHA BAJETI YA WIZARA YA HABARI, UTAMADUNI, SANAA NA MICHEZO LEO BUNGENI MJINI DODOMA.


Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Mhe Nape Nnauye (Mb) (kulia) akiwa pamoja na Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Mhe. Angellah Kairuki wakiwasili katika viwanja vya Bunge mjini Dodoma kwa ajili ya usomwaji wa Bajeti ya Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, 13 Mei, 2016.


Naibu Katibu Mkuu, Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Bi. Nuru Mrisho (kushoto) pamoja na Kaimu Mkurugenzi, Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Bi. Zamaradi Kawawa wakiwa katika viwanja vya Bunge mjini Dodoma kwa ajli ya kusikiliza Bajeti ya Wizara hiyo leo 13 Mei, 2016.

Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Mhe Nape Nnauye (Mb) (kulia) akiwa pamoja na Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Mhe. Angellah Kairuki wakiingia ndani ya Ukumbi wa Bunge mjini Dodoma kwa ajili ya usomwaji wa Bajeti ya Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, 13 Mei, 2016.



No comments:

Post a Comment