Mwanachama wa Jumuiya ya Waastafu wa Muungano akisoma risala kwa Wajumbe wa Mfuko huo wakati wa Mkutano Mkuu wa Jumuiya hiyo uliofanyika katika Ukumbi wa Jengo la Sanaa Rahaleo chini ya Ufadhili wa PSPF kwa Kutoa Elimu ya Kujiunga na Mfuko huo kwa Hiari.
Wajumbe wa Mkutano Mkuu wa Wastaafu wa Jamuhuri ya Muungano wakisikiliza risala ya Mkutanmo Mkuu wa Mwaka ikisomwa wakati wa mkutano huo.
Mgeni rasmin wa Mkutano huo Mkuu wa Jumuiya ya Wastaafu Mhe Nassor Salum Jaziri Mwakilishi wa Jimbo la Kikwajuni akiwa na Viongozi wa Jumuiya hiyo meza kuu.
Wajumbe wa Mkutano Mkuu wakifuatilia Mkutano huo Mkuu.
Mwenyekiti wa Jumuiya ya Wastaafu wa Jamuhuri ya Muungano Zanzibar Ndg Khamis Rashid, akizungumza kabla ya kumkaribisha Mgeni Rasmin Mwakilishi wa Jimbo la Rahaleo Zanzibar Mhe Nassor Salum Jazira kuufungua mkutano huo Mkuu wa Mwaka uliofanyika katika ukumbi wa Jengo Sanaa Rahaleo Zanzibar.
Mwakilishi wa Jimbo la Kikwajuni Zanzibar Mhe Nassor Salum Jazira akitowa nasaha zake kwa Wajumbe wa Mkutano Mkuu wa Wastaafu wa Jamuhuri ya Muungano Zanzibar, uliofanyika katika ukumbi wa Jengo la Sanaa Rahaleo Zanzibar.
Wajumbe wa Mkutano Mkuu wa Wastaafu wa Jamuhuri ya Muungano wakimsikiliza mgeni rasmin akifungua mkutano huo na kutowa nasaha zake.
Makamu Mwenyekiti wa Jumuiya ya Wasstaafu wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Ndg Ramadhani Nzori, akizungumza kabla ya kumkaribisha Afisa wa Mfuko wa Hifadhi wa PSPF kuzungumzia umuhimu wa kujichangia kwa hiari katika Mfuko huo kwa Wastaafu wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania, wakati wa Mkutano Mkuu wa Jumuiya hiyo uliofanyika katika Ukumbi wa Sanaa Rahaleo Zanzibar.
Afisa wa Mfuko wa Hifadhi wa PSPF Ndg Mohammed Salum akitowa maelezo ya manufaa ya Kujiunga na Uchangiaji wa Hiyari kwa Wastaafu wa Jamuhuri ya Muungano na faida zake kupitia Mfuko huo wakati wa Mkutano Mkuu wa Jumuiya hiyo uliodhaminiwa na PSPF.
Afisa wa Mfuko wa PSPF Ndg Mohammed Salum, akitowa Elimu ya Mfuko huo wa Hiari kwa wanachama wake jinsi ya kuchangia na manufaa watakayopata wakiwa Wanachama.
Wajumbe hao wakifuatilia elimu ikitolewa na Afisa wa Mfuko wa PSPF wakati wa mkutano wao mkuu.
Afisa wa PSPF akisisitiza jambo wakati akitowa Elimu hiyo ya kujiunga na Mfuko wa Hiari wa PSPF kwa Wajumbe wa Mkutano Mkuu wa Jumuiya ya Wastaafu wa Jamuhuri ya Muunhgano wa Tanzania.
Wajumbe wakisoma vipeperushi vya maelezo ya Mfuko wa PSPF.
Imetayarishwa na OthmanMapara.
Zanzinews.com.
Zanzibar.
No comments:
Post a Comment