Friday, May 20, 2016

OFISI ZA ARDHI HALMASHAURI YA JIJI LA MBEYA CHUKUENI HATUA


Muonekano wa Ofisi za ardhi katika Halmashauri ya jiji la Mbeya zikiwa katika sura ya kupendeza ,nani ofisi nyeti sana katika halmashauri hiyo ,jambo la kusikitisha ofisi hizo ukizitizama kwa muonekano wa mbele ni ofisi nzuri sana lakini kwa muonekano wa nyuma ni aibu ,mazingira yake si rafiki na huduma zitolewazo katika ofisi hizo-Swali wahusika wanalijua hilo ua bajeti ya ukarabati haipo sawa sawa.Picha EmanuelMadafa-Jamiimojablogu)

Muonekano wa mbele ofisi za ardhi halmashauri ya jiji la Mbeya.

Muonekano wa Nyuma Ofsi za ardhi halmashauri ya jiji la Mbeya ,madirisha yakiwa yamewekewa Mabati na nyavu za muda mrefu ambazo zimeshika kutu,inasikitisha sana nadhani hili ni jipu lililo komaa,cha kusikitisha zaidi ndani ya jengo hilo zipo pia ofisi za Mbunge wa Mbeya mjini.


.

No comments:

Post a Comment