Wednesday, May 25, 2016

DTB YAKUTANISHA WATEJA WAKE TANGA


Meneja wa Tawi la Moroko, Benki ya Diamond Trust (DTB), Bw. Waziri Kindamba akiongea na baadhi ya wateja wa benki hiyo katika ghafla iliyofanyika mkoani Tanga hivi karibuni. Aliyekaa katika mbele wa pili kutoka kushoto ni Mkuu wa Mkoa wa Tanga, Mh. Martin Shigella, kulia kwake ni Katibu Tawala wa Mkoa wa Tanga, Bi Zena Said. (Picha na Mpiga Picha Wetu)

No comments:

Post a Comment