Thursday, February 18, 2016

MBUNGE WA CHADEMA AKABIDHI MSAADA WA CHAKULA KWA WAATHIRIKA

Mbunge wa Viti Maalumu Mikoani Pwani kupitia Chadema, Mery Muro kushoto akimkabidhi msaada wa Kg500 za unga wa mahindi na maharage, Afisa Kilimo wa Wilaya ya Rufiji, Bwenda Bainga kwa lengo la kusaidia wananchi wa Wilaya hiyo walioathirika na Mafuriko mwanzoni mwa mwezi January mwaka huu






No comments:

Post a Comment