Tuesday, February 16, 2016

IGP AWAAPISHA MAKAMISHNA WA POLISI WALIOPANDISHWA VYEO NA RAIS


Mkuu waJeshi la Polisi Tanzania, IGP Ernest Mangu (kushoto) akimpongeza Kamishna wa Opereshenina Mafunzo, CP Nsato Marijani baada yakumuapisha jana Makao makuu ya Jeshi la Polisi. CP Nsato Marijani amepandishwacheo na Mheshimiwa Rais ya Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania na Amiri JeshiMkuu, kutoka Kamishna MsaidiziMwandamizi wa Polisi na kuwa Kamishna wa Polisi ambapo pia amemteua kuwa Kamishnawa Operesheni na Mafunzo wa Jeshi la Polisi.


Mkuu waJeshi la Polisi Tanzania, IGP Ernest Mangu akimuapisha Kamishna wa Polisi, CPSimon Sirro baada ya kupandishwa cheo naMheshimiwa Rais ya Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania na Amiri Jeshi Mkuu, kutoka Naibu Kamishna wa Polisi na kuwaKamishna wa Polisi ambapo pia amemteua kuwa Kamanda wa Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam.


Mkuu waJeshi la Polisi Tanzania, IGP Ernest Mangu akimuapisha Kamishna wa Polisi, CP Albert Nyamuhanga baada ya kupandishwacheo na Mheshimiwa Rais ya Jamuhuri yaMuungano wa Tanzania na Amiri Jeshi Mkuu, kutoka Naibu Kamishna wa Polisi na kuwaKamishna wa Polisi ambapo pia amemteua kuwa Kamishna wa Fedha na Logostiki waJeshi la Polisi.


Mkuu waJeshi la Polisi Tanzania, IGP Ernest Mangu akimuapisha Kamishna wa Polisi, CP RobertBoaz baada ya kupandishwa cheo naMheshimiwa Rais ya Jamuhuri wa Muungano ya Tanzania na Amiri Jeshi Mkuu, kutoka Naibu Kamishna wa Polisi na kuwaKamishna wa Polisi ambapo pia amemteua kuwa Kamishna wa Intelijensia wa Jeshila Polisi.



Mkuu waJeshi la Polisi Tanzania, IGP Ernest Mangu akimuapisha Kamishna wa Polisi, CP NsatoMarijani baada ya kupandishwa cheo naMheshimiwa Rais ya Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania na Amiri Jeshi Mkuu, kutoka Kamishna Msaidizi Mwandamizi wa Polisina kuwa Kamishna wa Polisi ambapo pia amemteua kuwa Kamishna wa Operesheni naMafunzo wa Jeshi la Polisi.

Picha Zote na Hassan Mndeme-Jeshi la Polisi    



No comments:

Post a Comment