Friday, January 29, 2016

SERIKALI KUTAIFISHA MALI ZA MAFISADI NA WAHUJUMUUCHUMI


Mkurugenzi wa Mashtaka, (DPP), Biswalo Mganga akizungumza wakati wa mkutano na waandishi wa habari uliowakutanisha pamoja na Mkurugenzi wa Upelelezi wa Makosa ya Jinai wa Jeshi la Polisi, Kamishna wa Polisi, Diwani Athumani, na Mkurugenzi wa Upelelezi wa Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa, (TAKUKURU), Bw. Alex Mfungo, kwenyemakao makuu ya Polisi jijini Dar es Salaam, Januari 28, 2016. Katika taarifayao ya pamoja, taasisihizo zimeanza kutaifisha mali za watuhumiwa wa Ufisadi na Uhujumu uchumi na kuwataka wananchi kujitokeza kuwataja watuhumiwa wanaomiliki mali hizo kokote waliko.


Mkurugenzi wa Upelelezi wa Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa, (TAKUKURU), Bw. Alex Mfungo Mkurugenzi wa Mashtaka, akizungumza wakati wa mkutano na waandishi wa habari uliowakutanisha pamoja na Mkurugenzi wa Upelelezi wa Makosa ya Jinai wa Jeshi la Polisi, Kamishna wa Polisi, Diwani Athumani, na Mkurugenzi wa Mashtaka (DPP), Bw. Biswalo Mganga, makao makuu ya Polisi jijini Dar es Salaam, Januari 28, 2016. Katika taarifayao ya pamoja, taasisihizo zimeanza kutaifisha mali za watuhumiwa wa Ufisadi na Uhujumu uchumi na kuwataka wananchi kujitokeza kuwataja watuhumiwa wanaomiliki mali hizo kokote waliko.

Mkurugenzi wa Mashtaka Nchini, (DPP), Bw. Biswalo Mganga, (katikati), akifafanua jambo wakati wa mkutano wa pamoja na waandishi wa habari ambao ulimkutanisha yeye, Mkurugenzi wa Upelelezi wa Makosa ya Jinai, kutoka jeshi la polisi, (DCI), Kamishna wa polisi, Diwani Athumani, (kushoto), na Mkurugenzi wa Upelelezi wa Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa, (TAKUKURU), Bw.Alex Mfungo, kwenye makao makuu ya polisi jijiniDar es Salaam, Januari 28, 2016. Katika taarifayao ya pamoja, taasisihizo zimeanza kutaifisha mali za watuhumiwa wa Ufisadi na Uhujumu uchumi na kuwataka wananchi kujitokeza kuwataja watuhumiwa wanaomiliki mali hizo kokote waliko.

Mkurugenzi wa Upeleleziwa Makosa ya Jinai wa Jeshi la Polisi, (DCI), Kamishna wa Polisi Diwani Athumani, akifafanua jambo wakati wa mkutano na waandishi wa habari makao makuu ya polisi jijini Dar es Salaam Januari 28, 2016 mkutano ambao pia ulihudhuriwa na Mkurugenzi waMashtaka, (DPP), Biswalo Mganga, na Mkurugenzi wa Upelelezi wa Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa, (TAKUKURU), Bw. Alex Mfungo. Katika taarifayao ya pamoja, taasisihizo zimeanza kutaifisha mali za watuhumiwa wa Ufisadi na Uhujumu uchumi na kuwataka wananchi kujitokeza kuwataja watuhumiwa wanaomiliki mali hizo kokote waliko.


 Picha na K-VIS MEDIA/Khalfan Said


No comments:

Post a Comment