Friday, September 11, 2015

MH.HAMAD MASAUNI AFUNGA MAFUNZO YA VIJANA WA TUEPO


Mbunge wa Jimbo la Kikwajuni Mhe Eng Hamad Masauni akifungua m,afunzo ya Vijana Wasio na Ajira yalioandaliwa na Jumuiya ya Watanzania Wasio na Ajira Tanzania (TUEPO) mafunzo hayo yanafanyika katika ukmbi wa zamani wa baraza la wawakilishi kikwajuni Zanzibar

SOMA ZAIDI...

Mmoja wa Kijana Wasio na Ajira Tanzania akisoma Quran wakati wa Ufunguzi wa Mafunzo ya Siku mbili ya kuwajengea Uwezo Vijana wa Jumuiya ya Watanzania Wasuio na Ajira Tanzania (TUEPO) yanayofanyika katika Ukumbi wa Baraza la Wawakilishi la Zamani Kikwajuni Zanzibar


Katibu wa Jumuiya ya TUEPO Muzna Ibarahim akitowa maelezo ya mafunzo hayo kabla ya kumkaribisha mgeni rasmin Mhe Hamad Masauni kuyafungua mafunzo hayo ya siku mbili yanayowajumuisha Vijana wasio na Ajira kuwajengea Uwezo wa kujiajiri.




















No comments:

Post a Comment