Thursday, September 03, 2015

TAMASHA LA MUZIKI MNENE BAR KWA BAR KUFANYIKA KESHOKUTWA MKURANGA

Ofisa Habari wa Kituo cha Redio cha EFM, Samira Sadiq (kushoto), akizungumza na wanahabari (hawapo pichani), kabla ya kumkaribisha Meneja wa Mawasiliano wa redio hiyo kuzungumza na waandishi wa habari kuhusu tamasha la muziki mnene bar kwa bar litakaloanza kesho kutwa Jumamosi, Agosti 5, 2015 Mkuranga mkoani Pwani. Kulia ni Meneja Usambazaji na Mauzo wa Kampuni ya Simu ya Smart, Haidari Chamshama na katikati ni Meneja wa Mawasiliano wa EFM Redio, Denis Ssebo. Kampuni ya simu ya Smart wamedhamini tamasha hilo.

PICHA ZAIDI. . .
  Meneja wa Mawasiliano wa EFM Redio, Denis Ssebo (kushoto), akizungumza katika mkutano huo. Kulia Meneja Usambazaji na Mauzo wa Kampuni ya Simu ya Smart, Haidari Chamshama.

Meneja Usambazaji na Mauzo wa Kampuni ya Simu ya Smart, Haidari Chamshama (kulia), akizungumza kwenye mkutano huo.

Wanahabari kutoka vyombo mbalimbali wakifuatilia kwa kina mkutano huo


Hapa meneja wa Mawasiliano wa EFM Redio, Denis Sebo (kushoto), na; Meneja Usambazaji na Mauzo wa Kampuni ya Simu ya Smart, Haidari Chamshama, wakiwaonesha moja ya jezi zilizotolewa na kampuni hiyo kwa ajili ya tamasha hilo.


No comments:

Post a Comment