Wednesday, August 26, 2015

KAMPENI: SAMIA SULUHU AWANADI WAGOMBEA UBUNGE KILIMANJARO (PICHA 9)

Mgombea Mwenza wa Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Bi Samia Suluhu, kwa tiketi ya Chama Cha Mapinduzi, jana aliwanadi wagombea ubunge mkoani Kilimanjaro alipokuwa katika mkutano wa kampeni. Kati ya wagombea hao ni pamoja na Cyril Chami(Moshi Vijijini), Davis Mosha (Moshi Mjini) na Innocent Melek (Vunjo) katika viwanja vya CCM Majengo, jimbo la Moshi Mjini mkoani Kilimanjaro.. Tazama Picha chini. . .

PICHA ZAIDI...













No comments:

Post a Comment