Friday, June 06, 2014

SAFARI YA KUUPELEKA MWILI WA GEORGE TYSON NCHINI KENYA KWA MAZISHI(PICHA 9)

JUU: Caroline Okumu, dada wa marehemu akiwa uwanja wa ndege na baadhi ya wanafamilia kabla ya kuanza safari ya kuelekea Kenya.

CHINI: Benson Okumu, mdogo wa Marehemu akiwa na mtoto wa marehemu Sonia wakiwa uwanja wa ndege kabla ya kuanza safari ya kuelekea Kenya.
 


Gladys Okumu mama yake marehemu George Tyson akiwa na dada yake baada ya mwili wa Marehemu kuwasili katika uwanja wa ndege wa Jomo Kenyatta Intenational Airport, Nairobi.

CHINI: Ndugu jamaa na marafiki wakisubiri kuwasili kwa mwili wa marehemu JKIA



Mke wa Marehemu akimkumbatia mama wa marehemu





Mtoto wa marehemu ambaye ni wa pili kusaliwa Eugine Otieno, alipowasili katika mapokezi ya mwili wa marehemu baba yake.




No comments:

Post a Comment