Ndugu jamaa na marafiki wakiwa wamebeba jeneza la Marehem
George Tyson wakati wanautoa mwili wa marehemu kutoka chumba cha kuhifadhia
maiti leo asubuhi tayari kwa safari ya kuelekea Siaya kwaajili ya mazishi.
Waombolezaji wakati wakijianda kuelekea Siaya, eneo ambalo atazikwa marehem George Tyson.
No comments:
Post a Comment