Magesa alisema kuwa ni jambo zuri sana kwa mtanzania kwa mtanzani kuweze kupeana sapoti katika biashara ili kupunguza misaada kwa serikali yetu na kuacha kuilamu kila siku kwamba haina ushirikiano.
Alisema kuwa yeye kama barozi wa Puku Company inayosambaza vifaa vya kuchajia simu aina ya smartphone ameahidi kuwa barozi mzuri katika kuhakikisha kila mtanzania anaweza kuifahamu na kuinunua kwa haraka.
“Mimi kama barozi nitahakikisha watanzania wezangu wote kuweza kushirikiana pamoja na mimi ili kuweza kujivunia bidhaa mabazo zinatengenezwa na watanzania wenye na sin chi nyingine tulizo zizoea ili kuleta mapinduzi nchini kwetu,”alisema
Millen alisema amefurahi kuwa barozi wa Puku hapa Tanzania na kuahidi kuwa atakuwa mtari wa mbele kuweza kuhakikisha kila mtanzania anatumia puku kwa ajili ya kuchajia simu zao popote pale waendapo
Alisema kuwa makao makuu ya Puku company kwa hapa Tanzania ni 489 Abal Complex, gorofa ya tatu Mikocheni.
Kutoka kushoto ni Joseph Sikare ambaye ni rais wa PUKU Tanzania, CEO wa PUKU Mecky mbwana, Millen Magessa ambaye ni Balozi wa PUKU nchini na wa mwisho ni Eddy Kavishe ambaye ni partner wa PUKU
No comments:
Post a Comment