Tuesday, June 03, 2014

KOMBE LA DUNIA LAWASILI BRAZIL TAYARI KUSHINDANIWA, LAPOKEWA NA RAIS

Rais wa Brazil, Dilma Rousseff akipokea kombe la dunia rasmi kutoka kwa Rais wa shirikisho la kimataifa la soka duniani(FIFA) Joseph Sep Blatter, huku akishuhudiwa na  Waziri wa Michezo wa Brazil. Mashindano hayo yanatakiwa kuanza wiki ijayo juni 12, 2014

No comments:

Post a Comment