Sunday, June 08, 2014

BREAKING NEWS: MSANII MWINGINE AMEFARIKI, NI MZEE SMALL



Muigizaji mkongwe nchini, Said Ngamba maarufu kwa jina la Mzee Small amefariki dunia usiku wa jana tarehe 7/6/2014 saa 4 usiku akiwa katika Hospitali ya Taifa Muhimbili jijini Dar. Mzee Small amefariki kwa ugonjwa wa presha/kiharusi baada ya kuugua kwa muda mrefu kabla ya kuzidiwa na kupelekwa Muhimbili. Mtoto wa marehemu aitwaye, Muhidin amethibitisha kifo cha Mzee Small.

MUNGU AILAZE ROHO YA MAREHEMU MAHALI PEMA PEPONI... AMEEN!



No comments:

Post a Comment