Monday, March 17, 2014

REHANA JAFFER AKABIDHIWA HUNDI YA SH. 500,000


Meneja mauzo wa kampuni ya Home Shopping Centra (HSC), Nathir Bahayan akimkabidhii Rehana Jaffer hundi ya sh.500,000 baada ya kushindwa zawadi hiyo katika mashindano yaliyokuwa yakiendeshwa na kampuni hiyo katika mtandao wa kijamii ambapo yeye aliweza kuibuka mshindi baada ya kutuma picha ya chumba chake kilichopambwa na bidhaa alizonunua kutoka katika kampuni hiyo

No comments:

Post a Comment