Monday, February 03, 2014

SKENDO: NAIBU WAZIRI WA FEDHA AIBUA UOZO SIRARI

Naibu Waziri wa Fedha Adam Malima akikagua jengo la kituo cha pamoja cha huduma za forodha cha Sirari (OSBP) ambapo amemwagiza mkuu wa wilaya ya Tarime Luteni Kanali John Henjewele na timu yake wafanyiwe tathmini ya haraka na ya kina ndani ya wiki moja kwani jingo hilo limejengwa chini ya kiwango na linanyufa nyingi hata kabla halijaanza kutumika kitu ambacho Serikali imekataa kulipokea hadi tathmini ifanyike na kupewa ushauri kulipokea au kutolipokea.

CHINI: Naibu Waziri wa Fedha Adam Malima akionesha sehemu ya jengo hilo iliyo na ufa mkubwa, jengo hilo liko chini ya kiwango na limeanza kubomoka kabla halijakabidhiwa serikalini.




No comments:

Post a Comment