Friday, February 07, 2014

ANGALIA MSIGWA ALIVYOSHUSHWA KWENYE KARANDINGA MAHAKAMANI

 Anasubiri kusomewa mashtaka, nyuma yake ni Mbunge wa Viti Maalum, Chiku Abwao
Chini akitoka mahabusu kuelekea mahakamani kusomewa mashtaka yanayomkabili



akiwa chini ya ulinzi mkali, bado alama ya pipoz iko juu

 Akiteremka kwenye karandinga, chini Mbunge wa viti maalumu Chiku Abwao akionesha alama ya ushindi mahakamani hapo





No comments:

Post a Comment