Sunday, January 19, 2014

YAMEKUWA : BARAZA JIPYA LA MAWAZIRI LATANGAZWA


TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI

UHAMISHO NA UTEUZI WA MAWAZIRI NA NAIBU MAWAZIRI

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Jakaya Mrisho Kikwete, amewahamisha na kuwateua baadhi ya Mawaziri na Naibu Mawaziri kama ifuatavyo:-

OFISI YA RAIS

Hakuna mabadiliko.

OFISI YA MAKAMU WA RAIS

2.1 Waziri wa Nchi (Muungano) - Hakuna mabadiliko

Mhe. Eng. Dr. Binilith Satano MAHENGE (Mb)

Waziri wa Nchi (Mazingira).

Mhe. Ummy Ali MWALIMU (Mb)

Naibu Waziri 

OFISI YA WAZIRI MKUU

Hakuna mabadiliko

4.0 WIZARA

4.1 WIZARA YA FEDHA

Mhe. Saada Mkuya SALUM (Mb)

Waziri wa Fedha

Mhe. Mwigulu Lameck NCHEMBA (Mb) 

Naibu Waziri wa Fedha

Mhe. Adam Kighoma Ali MALIMA (Mb)

Naibu Waziri wa Fedha

WIZARA YA MAMBO YA NJE NA USHIRIKIANO WA KIMATAIFA

Hakuna mabadiliko

4.3 WIZARA YA KATIBA NA SHERIA

4.3.1 Mhe. Dkt. Asha-Rose Mtengeti MIGIRO (Mb)

Waziri wa Katiba na Sheria

Naibu Waziri - Hakuna mabadiliko

4.4 WIZARA YA USHIRIKIANO WA AFRIKA MASHARIKI

Hakuna mabadiliko

4.5 WIZARA YA VIWANDA NA BIASHARA

4.5.1 Waziri - Hakuna mabadiliko

4.5.2 Mhe. Janet Zebedayo MBENE (Mb)

Naibu Waziri wa Viwanda na Biashara

4.6 WIZARA YA ULINZI NA JESHI LA KUJENGA TAIFA

Mhe. Dkt. Hussein Ali Mwinyi (Mb)

Waziri wa Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa

WIZARA YA UJENZI

Hakuna mabadiliko

4.8 WIZARA YA MAMBO YA NDANI YA NCHI

4.8.1 Mhe. Mathias Meinrad CHIKAWE (Mb)

Waziri wa Mambo ya Ndani

Naibu Waziri - Hakuna Mabadiliko

4.9 WIZARA YA AFYA NA USTAWI WA JAMII

Mhe. Dkt. Seif Seleman RASHIDI (Mb)

Waziri wa Afya na Ustawi wa Jamii

Mhe. Dkt. Kebwe Stephen KEBWE (Mb)

Naibu Waziri wa Afya na Ustawi wa Jamii

4.10 WIZARA YA ELIMU NA MAFUNZO YA UFUNDI

4.10.1 Waziri: Hakuna mabadiliko

4.10.2 Mhe. Jenista Joakim MHAGAMA (Mb)

Naibu Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Ufundi

14.11 WIZARA YA MAENDELEO YA JAMII, JINSIA NA WATOTO

14.11.1 Waziri: Hakuna mabadiliko

14. 11.2 Mhe. Dkt. Pindi Hazara CHANA (Mb)

Naibu Waziri wa Maendeleo ya Jamii, Jinsia na Watoto

14.12 WIZARA YA MAENDELEO YA MIFUGO NA UVUVI

14.12.1 Mhe. Dkt. Titus Mlengeya Dismas KAMANI (Mb)

Waziri wa Maendeleo ya Mifugo na Uvuvi

Mhe. Kaika Saning’o TELELE (Mb)

Naibu Waziri wa Maendeleo ya Mifugo na Uvuvi

WIZARA YA KAZI NA AJIRA

Hakuna mabadiliko 

WIZARA YA MAWASILIANO, SAYANSI NA TEKNOLOJIA

Hakuna mabadiliko

14.15 WIZARA YA ARDHI, NYUMBA NA MAENDELEO YA MAKAZI

14.15.1 Waziri - Hakuna mabadiliko

14.15.2 Mhe. George Boniface Taguluvala SIMBACHAWENE (Mb)

Naibu Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi

14.16 WIZARA YA MAJI

14.16.1 Waziri - Hakuna mabadiliko

14.16.2 Mhe. Amos Gabriel MAKALLA (Mb)

Naibu Waziri wa Maji

14.17 WIZARA YA KILIMO, CHAKULA NA USHIRIKA

14.17.1 Waziri - Hakuna mabadiliko

14.17.2 Mhe. Godfrey Weston ZAMBI (Mb)

Naibu Waziri wa Kilimo, Chakula na Ushirika

4.18 WIZARA YA UCHUKUZI

Hakuna mabadiliko

4.19 WIZARA YA HABARI, VIJANA, UTAMADUNI NA MICHEZO

4.19.1 Waziri - Hakuna mabadiliko

4.19.2 Mhe. Juma Selemani NKAMIA (Mb)

Naibu Waziri wa Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo

4.20 WIZARA YA MALIASILI NA UTALII

4.20.1 Mhe. Lazaro Samuel NYALANDU (Mb)

Waziri wa Maliasili na Utalii

4.20.2 Mhe. Mahmoud Hassan MGIMWA (Mb)

Naibu Waziri wa Maliasili na Utalii

4.21 WIZARA YA NISHATI NA MADINI

Waziri - Hakuna mabadiliko

Naibu Waziri (Madini) - Hakuna mabadiliko

4.21.3 Mhe. Charles Muhangwa KITWANGA (Mb)

Naibu Waziri (Nishati)



Balozi Ombeni Y. Sefue
KATIBU MKUU KIONGOZI
Ikulu
DAR ES SALAAM
19 Januari, 2014



1 comment:

  1. Bado hakuna dalili ya kuelewa nini tunapaswa kufanya kujenga hii nchi kwa usawa bila kufanya kaz kwa upendeleo....zaidi ya hili uzalendo wa viongozi pamoja na wananchi ni jambo pekee litakalotutoa hapa tulipo. Kazi ya kufanya bado ni kubwa sana kwa chama tawala ili kutekeleza haja za wananchi....ikifikia siku viongozi wakafanya kazi kwa kuzingatia uwezo tunaweza fika mbali ila sio kwa kuzingatia mitandao ndani ya chama.

    ReplyDelete