Sunday, January 19, 2014

HAWA NDIO MANAIBU WAZIRI WALIVYOTANGAZWA

MANAIBU WAZIRI WAPYA

WIZARA YA ELIMU – Jenista Mhagama

WIZARA YA MAENDELEO YA JAMII – Pindi Hazana Chana

WIZARA YA UVUVI NA MIFUGO – Kaika Saning'o Telele

WIZARA YA MAWASILIANO – Januari Makamba

WIZARA YA KAZI NA HAJIRA – Makongoro Mahanga

WIZARA YA ARDHI – George Simbachawene

WIZARA YA MAJI – Amos Makala

WIZARA YA KILIMO – Godfrey Zambi

WIZARA YA VIWANDA NA BIASHARA – Janeth Mbene

WIZARA YA HABARI VIJANA NA MICHEZO – Juma Nkamia

WIZARA YA MALIASILI NA UTALII – Mahmoud Hassan Mgima

WIZARA YA NISHATI NA MADINI – NISHATI – Charles Kitwanga

WIZARA YA FEDHA - Mwigulu Nchemba na Adam Malima

WIZARA YA AFYA NA USTAWI WA JAMII - Dr. Kebwe S. Kebwe

No comments:

Post a Comment