Monday, January 20, 2014

WAPENZI WA ISIDINGO POLENI KWA MSIBA MZITO WA LETTI

REST IN PEACE LETTI MATABANE

Msanii mwigizaji wa filamu na haswa ile maarufu ya Isidingo, Lesego Motsepe AKA "Letti Matabane" (Pichani) amefariki dunia. Poleni sana mashabiki wa ISIDINGO, tamthiliya iliyozoeleka na kupendwa sana Tanzania kupitia ITV. Mtamkumbuka Letti Matabane na mbwembwe zake. Mungu ailaze roho ya Lesego mahali pema peponi



No comments:

Post a Comment