Wednesday, January 01, 2014

HII KALI: NDOA 54 ZAFUNGWA KWA MARA MOJA KAHAMA

Wanandoa wakiwa kanisani hivi karibuni mwaka  uliopita  kwenye kanisa kuu la jimbo Katoliki la Kahama ambako  jumla ya  ndoa  54  zilifungwa  wakati mmoja  na paroko  Padre Logatus Malulu   katika kanisa hilo la Mtakatifu Karoli Rwanga kahama mjini.  


No comments:

Post a Comment