Rais wa marekani Barack Obama atoa kali baada ya kuwasili uwanja wa ndege, baada ya kuungana na watanzania kucheza ngoma wakati wa mapokezi yake ambayo alipokelewa na mwenyeji wake Jakaya Kikwete. Picha inamuonyesha Obama akicheza ngoma ya kitanzania hali ambayo inaonyesha ameukubali utamaduni wa nchi ya Tanzania
No comments:
Post a Comment