Wakati rais wa marekani Baraka Obama akizungumza na waandishi wa habari Ikulu mke wa rais huyo Michelle Barack Obama alitembelea katika ofisi za Wanawake na Maendeleo WAMA
Wakati alipotembelea ofisi hizo alipokelewa na mwenyeji wake Mwenyekiti wa WAMA Mama Salma Kikwete katika makao makuu ya taaisis hiyo leo muda mfupi uliopita .
Rais Barack Obama na Mke wake Michelle Obama wako katika ziara ya siku mbili ya kikazi nchini Tanzania wakiongozana na watoto wao jioni hii
Picha kwa msaada wa mtandao.
No comments:
Post a Comment